SEM WINE ni watengenezaji wa Homemade wines ambazo zinatokana na matunda,Herbs baadhi ya wine hizo ni rosella,grapes,pea,ginger,banana,tomato,guava nk.
Pia ukiagiza tunasafirisha sem wine moja kwa moja mpaka mlangoni kwako. Karibuni sana wateja
Karibu sana wateja wetu
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Habari za jioni wateja wetu wapendwa mzigo upo tayari karibuni sana tukuhudumie
M iaka ya zamani wine ilinywewa na watu ambao ni matajiri ndo kilikua kinywaji chao. Katika bara la ulaya kwa upande wa kaskazini na mashariki yake hapakuwepo na zabibu wala malighafi zingine za kutengeneza red wine hivyo basi watu wengi walikunywa bia pamoja na ale .
Maoni
Chapisha Maoni