HISTORIA FUPI YA WINE, NA NI WINE IPI NI CHAGUO SAHIHI KWA KUTUMIA NA FAIDA ZAKE

 

M

iaka ya zamani  wine ilinywewa na watu ambao ni matajiri ndo kilikua kinywaji chao. Katika bara la ulaya kwa upande wa kaskazini na mashariki yake hapakuwepo na zabibu wala malighafi zingine za kutengeneza red wine hivyo basi watu wengi walikunywa bia pamoja na ale.

Red wine iliagizwa majimbo mengine nje na ulaya lakini ilikuwa ya bei sana hivyo basi watu matajiri ndio waliweza kumudu kuinunua.

Hapo chini ni faili inayopatikana kwa mfumo wa pdf hakikisha una application kwenye computer au simu inayosoma pdf .Bonyeza Download hapo chini........

SEM WINE

 

 

Maoni

popular posts