M iaka ya zamani wine ilinywewa na watu ambao ni matajiri ndo kilikua kinywaji chao. Katika bara la ulaya kwa upande wa kaskazini na mashariki yake hapakuwepo na zabibu wala malighafi zingine za kutengeneza red wine hivyo basi watu wengi walikunywa bia pamoja na ale .
Maoni
Chapisha Maoni